Country: Dar es Salaam
Hapa ni MIPEKO
Umbali wa kilomita 12 ukiingilia/kutoka Lami ya CHAMAZI MAGENGENI.
Muuzaji analazimika kuhama Mkoa kwa Majukumu ya Kazi hivyo BEI si ya Kukuumiza Mteja.
Kiwanja kina SQM.750.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ujenzi umeishia 'KOZI' ya Sita.
Utahitaji Tofari 1,000 Jengo zima lisimame.
Njoo wahi, ikiwezekana na Pesa kabisa.
Tutafiti/Ujiridhishe uhalali wa Mali,
Kisha ikiwezekana Tumalize Biashara mapema.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
________________mbgMg
Hapa ni MIPEKO Umbali wa kilomita 12 ukiingilia/kutoka Lami ya CHAMAZI MAGENGENI. Muuzaji analazimika kuhama Mkoa kwa Majukumu ya Kazi hivyo BEI si ya Kukuumiza Mteja. Kiwanja kina SQM.750. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Ujenzi umeishia ‘KOZI’ ya S...
https://advertisingdar.co.tz/ad/pagalevyumba-3linatupw-tshs-12-mil-mipeko/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.