Country: Dar es Salaam
Hapa ni jirani na MANZESE SEKONDARI.
Umbali wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami ya SINZA/MAGOMENI-KANISANI kupitia TANDALE.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 350.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
Nyumba moja ina Vyumba 4 vya kulala.
Na nyingine ina jumla ya Vyumba 6.
NI NYUMBA YA KISWAHILI,
Ambayo pengine inaweza kuhitaji MABORESHO.
Hatahivyo ina Wapangaji.
Pazuri kwa Biashara ya kupangisha.
WAHI.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
______________jj
Hapa ni jirani na MANZESE SEKONDARI. Umbali wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami ya SINZA/MAGOMENI-KANISANI kupitia TANDALE. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 350. Umiliki ni LESENI YA MAKAZI. Nyumba moja ina Vyumba 4 vya kulala. Na nyingine ina jumla ...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-mbili-zinauzwa-na-bank-manzese-uzuri/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.