Country: Dar es Salaam
Bahati ya Mtende ndio hii sasa; Je, Wewe na Familia yako mnahitaji utulivu na nafasi? Kama ndivyo, hapa mmefika sasa. Pia UNAYO RUKSA kufanya Ufugaji kama wa Kuku hapa, ili kujiongeza kipato chako. Kubwa kuliko Kodi yake ni rafiki mno. Sasa Mungu akupe nini tena? Vilevile wenye uhitaji wa kutumia kama Store, Kwa Bidhaa zisizoharibu Nyumba lakini Ruksa pia. JE,NYUMBA IKO WAPI?: Kutoka BOKO-CHAMA/Bagamoyo rd, Ni umbali wa kilomita 4 (Bodaboda 2,000) Utulivu wakutosha na hakuna Uswahili. Nyumba ipo ndani ya Fensi. Ina eneo kubwa nyuma yake na Usalama upo. Maji ya Dawasco yanapatikana. Vyumba 4 vya kulala (Masta 1) Sebule, Jiko,Dining-room na Choo cha Familia ndani. WAHI, UKICHELEWA SHAURI YAKO. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi 1. Kuona ni Tzs.30,000. (Unalipa wewe MPANGAJI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. ____________MmImc
Bahati ya Mtende ndio hii sasa; Je, Wewe na Familia yako mnahitaji utulivu na nafasi? Kama ndivyo, hapa mmefika sasa. Pia UNAYO RUKSA kufanya Ufugaji kama wa Kuku hapa, ili kujiongeza kipato chako. Kubwa kuliko Kodi yake ni rafiki mno. Sasa Mungu ak...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumbavyumba-4kodi-tzs-380000-mweziboko-nhc/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.