Country: Dar es Salaam
Ni umbali wa kikomita 1.5 tu kutoka Barabara ya Morogoro. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nyumba nzuri inayojitegemea. Vyumba 3 ( Masta 1) Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Nje kuna Apartments 4, Chumba na Choo chake kila moja. ________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. ________________mpg
Ni umbali wa kikomita 1.5 tu kutoka Barabara ya Morogoro. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nyumba nzuri inayojitegemea. Vyumba 3 ( Masta 1) Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Nje ...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-vyumba-3tshs-65-milkiluvya-kwa-komba/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.