Country: Morogoro
Shamba zuri, Ardhi yenye Rutuba na Panafikika vizuri misimu yote. Eneo ni jirani na MZINGA-JKT. Kilomia 7 kutoka SUA. Na-ni Kilomita 19 nje ya Mji wa Morogoro. Shamba hili lina Mazao ya Migomba pamoja na Miti ya Mbao aina ya Mitiki. Pia kuna Nyumba ya Mlinzi. UMILIKI NI MKATABA WA MAUZIANO. Ushauri wa Bure; NJOO UKIWA na PESA MKONONI, Au tena na Cheki yako isiwe Mbali. HAPA UKIJISHAURI SANA UTAPAKOSA. ________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.100,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. ________________mpg
Shamba zuri, Ardhi yenye Rutuba na Panafikika vizuri misimu yote. Eneo ni jirani na MZINGA-JKT. Kilomia 7 kutoka SUA. Na-ni Kilomita 19 nje ya Mji wa Morogoro. Shamba hili lina Mazao ya Migomba pamoja na Miti ya Mbao aina ya Mitiki. Pia kuna Nyumba y...
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.