Zipo umbali wa mita 400 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 2,000.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Nyumba 2 kila moja ina vyumba 3 (Masta 1)
Sebule,Jiko,Dining-room na Choo cha Familia ndani.
Nyumba 1 haijakamimika na ji ya vyumba 4.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.