Country: Dar es Salaam
Hizi ni nyumba mbilk katika Kiwanja kimoja. Zipk umbali wa mita 200 tu kutoka Barabara ya Lami ya Goba/Mbezi. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,200. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Nyumba kubwa ina jumla ya vyumba vya kulala 4, Vyumba 2 vina Vyoo ndani. Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Nyumba ndogo Ina eneo kubwa na ina Chumba 1, Ambacho ni Masta .Pia ina Sebule na jiko lake. _______________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. ________________mpg
Hizi ni nyumba mbilk katika Kiwanja kimoja. Zipk umbali wa mita 200 tu kutoka Barabara ya Lami ya Goba/Mbezi. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,200. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Nyumba kubwa ina jumla ya vyumba vya kulala 4, Vyumba 2 vina ...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-mbili-hati-ipotshs-100-milgobakwarobat/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.