Country: Dar es Salaam
Ni nyumba nzuri ya kisasa. Ndani ya Fensi na jirani na Barabara ya Lami. Vyumba 3 vya kulala(Masta 1) Pia Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Vilevile kuna Banda la Uwani la Chumba na Sebule. Parking ipo yakutosha na nyumba Ina ACs. Kieanja SQM.420. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. __________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. __________________tp
Ni nyumba nzuri ya kisasa. Ndani ya Fensi na jirani na Barabara ya Lami. Vyumba 3 vya kulala(Masta 1) Pia Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Vilevile kuna Banda la Uwani la Chumba na Sebule. Parking ipo yakutosha na nyumb...
https://advertisingdar.co.tz/ad/yenye-hati-inauzwa-na-banktzs-80-milpugu-kona/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.