Country: Pwani
Kijiji MASAKI, Ni umbali wa jumla wa kilomita 60 kutoka Dar mijini. Kisarawe-Mijini hadi Shamba ni kikomita 27. Na kilomita 3 tu kutoka Barabara/LANI inayoelekea MSANGA. Ardhi nzuri tambarare yenye rutuba. Shughuli unazoweza kufanya hapa ni pamoja na; Kilimo, Ufugaji, Kiwanda,Shule nk. Ndani yake kuna miti ya kudumu iliyokomaa kama Miembe,Michikichi, Minazi na,Mikorosho. UMILIKI NI HATI (Title Deed) ya Wizara. VIZURI HAVIKAI. WAHI. ______________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. ______________zw
Kijiji MASAKI, Ni umbali wa jumla wa kilomita 60 kutoka Dar mijini. Kisarawe-Mijini hadi Shamba ni kikomita 27. Na kilomita 3 tu kutoka Barabara/LANI inayoelekea MSANGA. Ardhi nzuri tambarare yenye rutuba. Shughuli unazoweza kufanya hapa ni pamoja na...
https://advertisingdar.co.tz/ad/shamba-lenye-hati-ekari-30sungwimkisarawe/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.