Country: Tanzania
Ni umbali wa kilomita 2 kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Na kilomita 32 kutoka KATIKATI YA MJI.
Ni jirani na Kliniki ya HAEMEDA.
Pagale ni-la vyumba 3 vya kulala (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,500.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
_________________zw
Ni umbali wa kilomita 2 kutoka Barabara ya Bagamoyo. Na kilomita 32 kutoka KATIKATI YA MJI. Ni jirani na Kliniki ya HAEMEDA. Pagale ni-la vyumba 3 vya kulala (Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Kiwanja ki...
https://advertisingdar.co.tz/ad/pagale-la-vyumba-3-tzs-180-milioni-bunju-tba/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.