Country: Dar es Salaam
Eneo ni wastani wa kilomita 1 tu kutoka MAGUFULI TERMINAL. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nyumba ina Vyumba 3 vya kulala ( Madta 1) Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Ipo ndani ya Fensi na pia ina Servant's Quarter ambayo haijakamilika, iko kwenye hatua ya Linta. _____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. ____________sllMbx
Eneo ni wastani wa kilomita 1 tu kutoka MAGUFULI TERMINAL. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nyumba ina Vyumba 3 vya kulala ( Madta 1) Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Ipo ndani ya Fe...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-yenye-vyumba-3tzs-140-milmbezi-mwisho/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.