Country: Dar es Salaam
Nyumba kisasa ambayo ni bora na YAKUHAMIA.
Ipo eneo la KISIWANI, umbali wa kilomita 5 tu (Gari Dakika 10) kutoka Ferry.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.600.
Umiliki ni HATI (Title Deed ) ya Wizara.
Kila Chumba na Choo chake ndani.
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Parking ipo.
Mtaa tulivu na Salama.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo unaridhia taratatibu zangu.
_________________zw
Nyumba kisasa ambayo ni bora na YAKUHAMIA. Ipo eneo la KISIWANI, umbali wa kilomita 5 tu (Gari Dakika 10) kutoka Ferry. Kiwanja kina ukubwa wa SQM.600. Umiliki ni HATI (Title Deed ) ya Wizara. Kila Chumba na Choo chake ndani. Pia kuna Sebule, Jiko,...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-yenye-hativyumba-4tzs-295-milkigamboni/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.