Country: Dar es Salaam
Ni ya-pili kutoka Barabara ya Zege.
Hakuna changamoto yoyote kufika ilipo na
Mazingira ni mazuri.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 890.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ina AC.
Haina Fensi.
AINA WA NYUMBA HII NA UWEKEZAJI WAKE
NI ADIMU KWA MSENEO HAYA.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
_______________alSx
Ni ya-pili kutoka Barabara ya Zege. Hakuna changamoto yoyote kufika ilipo na Mazingira ni mazuri. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 890. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Vyumba 3 (Masta 1) Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Fami...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-yenye-hativyumba-3kimara-korogwe/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.