Country: Dar es Salaam
MALAMBAMAWILI,
Ni njia ya kuel3k3 Kinyerezi kutokea MBEZI-MWISHO.
Nyumba nzuri ya vyumba 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja SQM. 600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Eneo ni kubwa unaweza kujenga nyumba nyingine kubwa pembeni na bado ukapa Parking.
Nyumba ipo mita 200 toka Lami na inaangalia Barabara ya Mtaa.
Gari ndogo inafika.
Hiduma za Umeme na Maji zipo tayari.
________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
________mpg
MALAMBAMAWILI, Ni njia ya kuel3k3 Kinyerezi kutokea MBEZI-MWISHO. Nyumba nzuri ya vyumba 3 (Masta 1) Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Kiwanja SQM. 600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Eneo ni kubwa unaweza kujen...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-yakumalizia-malambamawili/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.