Country: Dar es Salaam
Hapa ni nyuma ya Kituo cha Magufuli. Umbali ni wastanivwa kilomita 2.5 kutoka Lami. Vyumba 3 vya kulala (Masta 1) Sebule, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Pia ina Apartment-2 za Masta kilamoja. Finishing nzuri naMtaa tulivu. Ishi na Familia yako kubwa au Pangisha ukamue Kodi, -Ndio ujanja huo. Uwekezaji unaohitajika sasa! Eti, TZS. 82 MILIONI TU, We umesikia wapi? Wahi Usiage hata mtu mmoja, utazunguukwa.l Njoo uokote Dodo chini ya Mnazi. _______________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. _______________alMx
Hapa ni nyuma ya Kituo cha Magufuli. Umbali ni wastanivwa kilomita 2.5 kutoka Lami. Vyumba 3 vya kulala (Masta 1) Sebule, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Pia ina Apartment-2 za Masta kilamoja. Finishing nzuri naMtaa tulivu. Ishi na Fami...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-kisasa-bei-rafiki-mbezi-mshikamano/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.