Nyumba nzuri ya kisasa.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni umbli wa kilomkta 6 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________mpg
Ujenzi wa kisasa:
Vyumba vya kulala 3( Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining room, Store na Choo cha Familia ndani.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.