Loading…
Views: 12
TZS270,000,000.00

NYUMBA SITA (6) ZINAUZWA PAMOJA, CHANIKA-NYEBURU

Posted 13 days ago

Country: Dar es Salaam

  • Bedrooms : more than 4
  • Bathrooms : more than 3
  • Parking : Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of Property : House , Commercial Property
  • Available for : Sale

Description:

Hapa tunakupa KITEGAUCHUMI cha maana. Kipo umbali wa kilomita 32 kutoka Kariakoo. Kiwanja kina ukubwa wa EKARI MBILI+ (SQM. 8,500) Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nyumba moja ina vyumba vya kulala  vinne(4) Kila chumba hapa kina Choo chake ndani, Pa kuna Sebule,Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Vile vile zipo nyumba 4 zinazofanana kwa kilakitu. Kila moja ina vyumba vya kulala viwili (2) Na kati hivyo kimoja (1) ni masta na zina Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani. Eneo ni kubwa. Unaweza kujenga zaidi au tena, Kuendesha SHUGHULI ZA KITAASISI hapa kama Zahanati,Shule ya Chekechea nk. Uzuri zaidi, ndani ya Mali hii kuna KISIMA kinachotoa Maji salama. UWEKEZAJI NI TZS.270 MILIONI. _________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni 50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. __________________mpg          

Views: 12
TZS270,000,000.00

NYUMBA SITA (6) ZINAUZWA PAMOJA, CHANIKA-NYEBURU

Posted 13 days ago
Always Open
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top