Country: Dar es Salaam
Hapa ni KWA-MKONGO. Nyumba ni ya kisasa na YAKUHAMIA. Kiwanja SQM. 600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 6 (Kila Chumba na Choo chakr ndani) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Nyumba ina: ●Electric Fence ●Kisima cha Maji ●Parking yakutosha ●Servant's Quarter ya Ghorofa Na ipo jirani na Barabara ya Lami. Iwapo ni mhitaji kweli hii ukiikagua huwezi kuiacha. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. __________
Hapa ni KWA-MKONGO. Nyumba ni ya kisasa na YAKUHAMIA. Kiwanja SQM. 600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 6 (Kila Chumba na Choo chakr ndani) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Nyumba ina: ●Electric Fence ●Kisim...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-mpyavyumba-6mbagala-chamazi/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.