Country: Pwani
Ni mita 50 tu kutoka Barabara ya Lami.
Kiwanja SQM. 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba ni ya jufanyia umaliziaji mdogo.
Ipo ndani ya Fensi na Geti lake.
Vyumba 3 ( Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Chok cha Wageni cha nje.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
_______________mpg
Ni mita 50 tu kutoka Barabara ya Lami. Kiwanja SQM. 500. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nyumba ni ya jufanyia umaliziaji mdogo. Ipo ndani ya Fensi na Geti lake. Vyumba 3 ( Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia nda...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-mpya-vyumba-3-tzs-48-milpangani-kibaha/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.