Country: Dar es Salaam
Hii ni nyumba ya kisasa YAKUHAMIA. Haihitaji hata kufagia jamani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600. Umiliki wake ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Vyumba 4 vya kulala ( 2 Vyoo ndani) Pia kuna Sebule, Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Ndani ya Fensi. UNACHELEWA NINI SASA? TUSIJEKULAUMIANA BAADAE. ________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,00. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. ________________ryt
Hii ni nyumba ya kisasa YAKUHAMIA. Haihitaji hata kufagia jamani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600. Umiliki wake ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Vyumba 4 vya kulala ( 2 Vyoo ndani) Pia kuna Sebule, Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Nd...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-mpya-ina-hati-vyumba-4mbweni-ubungo/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.