Country: Tanzania
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.800.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni nyumba yenye nafasi.
Vyumba vya kulala 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani
Maboreahi ni madogo tu.
Wahi hii Bei rafiki na Thamani zaidi ya Pesa.
_________________
ANGALIZO;
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
_________________mpg
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.800. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Ni nyumba yenye nafasi. Vyumba vya kulala 3 (Masta 1) Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani Maboreahi ni madogo tu. Wahi hii Bei rafiki na Thamani zaidi ya...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-kubwa-vyumba-3tzs-75-milmbezi-msumi/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.