Country: Dar es Salaam
Hapa kuna nyumba Tatu (3)
Ndani ya Kiwanja kimoja kizuri KILICHOPIMWA.
Njia-panda ya kuelekea GOBA kutokea Magufuli-stand.
Mita 600 tu kutoka Barabara ya LAMI.
Nyumba hizi zina jumla ya vyumba 17.
ZINAHITAJI MABORESHO AU KUPISHA UJENZI MPYA.
Panafaa nyumba za Kisasa (Apartments)
Zote zina Wapangaji.
USIENDE MAPORINI MBEZI NI MJINI BADO.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
________________mpg
Hapa kuna nyumba Tatu (3) Ndani ya Kiwanja kimoja kizuri KILICHOPIMWA. Njia-panda ya kuelekea GOBA kutokea Magufuli-stand. Mita 600 tu kutoka Barabara ya LAMI. Nyumba hizi zina jumla ya vyumba 17. ZINAHITAJI MABORESHO AU KUPISHA UJENZI MPYA. Panaf...
https://advertisingdar.co.tz/ad/kiwanja-sqm-1600tzs-130-milmbezimwisho/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.