Country: Tanzania
Nyumba nyingi, nzuri ndani ya Kiwanja kimoja.
Kila moja ina vyumba vya kulala viwili 2 (Masta 1)
Pia Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.6,300.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Kila nyumba inajitegemea Umeme na Maji.
Zina Wapangaji kwa Sasa.
Kodi ni Tzs.400,000/Mwezi kila moja.
Hivyo, basi Kodi ni zaidi ya MILIONI NANE/MWEZI.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
_______________mpg
Nyumba nyingi, nzuri ndani ya Kiwanja kimoja. Kila moja ina vyumba vya kulala viwili 2 (Masta 1) Pia Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM.6,300. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Kila nyumba inajitegemea Umeme na...
https://advertisingdar.co.tz/ad/kijiji-nyumba-22tzs-1-2-bilionitabata-segerea/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.