Country: Dar es Salaam
Hii ni nyumba nzuri ya kuinguza Pesa. Hostel yenye jumla ya vya kulala vyumba 11. Vyote wapangaji sasahivi. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 626. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Hapa kila chumba kina Wanafunzi 2. Kodi KWA SEMISTER moja ni Tshs.440,000 kwa kila mwanafunzi. Utaamua kuendelea nao ama vinginevyo utakavyotaka. Nyumba ni nzuri ina nafasi na unaweza kuibadilisha matumizi kama kuwa Lodge nk. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuina ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hii ni nyumba nzuri ya kuinguza Pesa. Hostel yenye jumla ya vya kulala vyumba 11. Vyote wapangaji sasahivi. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 626. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Hapa kila chumba kina Wanafunzi 2. Kodi KWA SEMISTER moja ni Tshs.440...
https://advertisingdar.co.tz/ad/hostel-yenye-vyumba-11-tshs-280-milionisurvey/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.