Loading…
Views: 6
TZS450,000,000.00

GHOROFA SAFI,VYUMBA 4,TZS.450 MIL,TABATA SEGEREA

Posted 3 days ago

Country: Dar es Salaam

  • Bedrooms : more than 4
  • Bathrooms : more than 3
  • Parking : Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of Property : House
  • Available for : Sale

Description:

Kilomita 7 tu kutoka Airport JKNA,

Hapana shaka kuwa zaidi ya Makazi hapa unaweza kufanya Biashara kama AirBnB,Ofisi, 

Massage Parlor au Lodge ya hadhi.

Nyumba ni ya Sakafu mbili.

Hatahivyo, Msingi wake-KITAALAM ni wa 

Sakafu/Floor 3,

Hivyo unaweza kuogeza ujenzi juu.

Nyumba KUBWA ina jumla ya 

●Vyumba 4 (2 vina Vyoo vya ndani)

●Sebule MBILI/Juu na Chini,

●Jiko zuri lenye Makabati,

●Dining area na Choo cha Familia.

Nyumba ndogo ya pemben ni Apartments 2.

Moja ni Masta na Sebule yake.

Nyingine ni chumba kimoja ambacho ni Masta tu.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM.460.

Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.

Kuna KISIMA kinachotoa MAJI MATAMU

Pia kuna Tank-2 zinazosambaza Maji nyumba nzima.

Kutokea Masta ipo Balcony inayozunguuka nyumba nyumba nzima.

Unajionea Mandhari nzuri ya nje kwa wigo mpana na kupunga upepo mwanana.

Parking ipo ya Gari 4.

ACs mpya na za kisasa.

Taa na naksi za kileo kama Taa za kisasa,

Chandelier kadhaa zinazidisha upekee wa Mali hii.

WAHI UKAGUEMAPEMA.

___________________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000. 

(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. 

___________________mtld/sSgr







Views: 6
TZS450,000,000.00

GHOROFA SAFI,VYUMBA 4,TZS.450 MIL,TABATA SEGEREA

Posted 3 days ago
Always Open
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top