Country: Dar es Salaam
Eneo ni MBAGALA MISSION
Hapa tuna Maduka 12.
Ukubwa unatofautiana,
Kadhalika na Kiwango cha Kodi kwa Mwezi.
Kubwa Kodi kwa Mwezi ni Tshs.250,000.
Ndogo Kodi kwa Mwezi ni Tshs.150,000.
Ni mpya na zipo Kituocha Daladala.
Inahitajika Kodi ya kuanzia MieI 6 na kuendelea,
Ilipwe MWANZO WA MKATABA.
Panafaa Shughuli kama:
Ofisi, Mafundi Nguo(Charahani)
Wasusi,, Mafundi Simu nk.
WAHI UJICHAGULIE ITAKAYOKUFAA.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe MPANGAJI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
____________dgmss
Eneo ni MBAGALA MISSION Hapa tuna Maduka 12. Ukubwa unatofautiana, Kadhalika na Kiwango cha Kodi kwa Mwezi. Kubwa Kodi kwa Mwezi ni Tshs.250,000. Ndogo Kodi kwa Mwezi ni Tshs.150,000. Ni mpya na zipo Kituocha Daladala. Inahitajika Kodi ya kuanzia M...
https://advertisingdar.co.tz/ad/fremu-maduka-ofisi-zinapangishwa-mbagala/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.