Country: Dar es Salaam
Hizi ji nyumba nzuri ambazo zipo ndani ya Kiwanja kimoja.
Kila moja ina vyumba 2 (Masta 1)
Pia Sebule na Jiko lake ndani.
Kiwanja SQM. 1,800.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Nyumba zote zina Wapangaji.
Kodi kila moja ni Tshs.350,000/Mwezi.
Wahi Kitegauchumi kisichoumiza Kichwa.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
______________oUK
Hizi ji nyumba nzuri ambazo zipo ndani ya Kiwanja kimoja. Kila moja ina vyumba 2 (Masta 1) Pia Sebule na Jiko lake ndani. Kiwanja SQM. 1,800. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Nyumba zote zina Wapangaji. Kodi kila moja ni Tshs.350,000/Mwezi. ...
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.