Unaweza kupitia Stpp-Over pia na umbali ni kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Hakuna Masta kuna Choo 1 tu ndani.
Vyumba 2 vya kulala,Sebule,Jiko, LUKU yako.
Parking kubwa,Maji safi yanatoka ndani.
Wahi kabla hujachelewa.
______________
ANGALIZO:
Malipk ya Dalali ni Kodi ya Mwezi 1.
Kuina ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe Mpangaji)
Wasimiana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________gd
Nyumba ina Tiles,Gypsum, Dirisha za Vioo.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.