Country: Pwani
Hizi nyumba zipo ndani ya Fensi na katika Kiwanja kimoja.
Eneo ni ZINGA, BAGAMOYO ROAD.
Umbali wa kilomita 52 tu kutoka Dar Mjini Mita 200 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo/Dar.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 1000.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba zote zimejengwa kisasa na kila moja inajitegemea.
Kubwa ina Vyumba 3 (Masta1)
Na ya pili ina Vyumba 2 (Masta 1)
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia tarstibu zangu.
________________hmmc
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hizi nyumba zipo ndani ya Fensi na katika Kiwanja kimoja. Eneo ni ZINGA, BAGAMOYO ROAD. Umbali wa kilomita 52 tu kutoka Dar Mjini Mita 200 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo/Dar. Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 1000. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO....
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-mbili-zinauzwa-pamoja-zinga-bagamoyo/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.