Loading…
Views:
TZS300,000,000.00

BAR YENYE LODGE NA UKUMBI,PUGU.

0 0 Reviews
Posted on 06 January 2024

Country: Dar es Salaam

  • Bathrooms: more than 3
  • Parking: Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of property: House , Business Premises, Commercial Property
  • Available for: Sale

Description:

Hapa kuna Bar, Lodge yenye Vyumba 4  (vyote Vyoo ndani) Majiko 2, Kaunta 1-kubwa, Lounge, Ofisi na Ukumbi kwaajili ya Sherehe,

Store pamoja na Vyumba 2 vya Wafanyakazi humohumo.

Vilevile kuna Frem 2 za Biashara/Maduka.

Ukubwa wa Kiwanja ni Mita za Mraba 3,135.

Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

________________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuina ni Tshs.50,000.

(Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

________________

Hapa unanunua Biashara.

Wahi kabla hujachelewa.

Wasiliana nami iwapo unahitaji kuikagua.



Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS300,000,000.00

BAR YENYE LODGE NA UKUMBI,PUGU.

0 0 Reviews
Posted on 06 January 2024
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top