Loading…
Views:
TZS180,000,000.00

NYUMBA MPYA-KALI, PLOT 500SQM, BUNJU B

0 0 Reviews
Posted on 03 January 2024

Country: Dar es Salaam

  • Parking: Parking behind Security Gates
  • Type of property: House
  • Available for: Sale

Description:

Nyumba ya kisasa ya kuingia tu.

Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba (SQM) 500.

_____________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuina ni Tshs.50,000.

(Unalioa wewe Mnunuzi)


Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

_____________

Hij nyumba mpya ya kisasa na ya hadhi.

Vyumba 3 (Masta 1 )

Nyumba ni kali kali kweli.

Wahi kabla hujachelewa.

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS180,000,000.00

NYUMBA MPYA-KALI, PLOT 500SQM, BUNJU B

0 0 Reviews
Posted on 03 January 2024
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top