Ilipangwa kuwa apartments.
Ni Kiwanja cha pili kutoka Barabara ya Goba/Mbezi.
Panafikika vizuri na huduma muhimu zinapatikana.
Kiwanja Kimepimwa.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_______________jLK
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhalo.