Loading…
Views:
TZS180,000,000.00

NYUMBA NZURI KUBWA,VYUMBA VITANO(5) PUGU MPAKANI

0 0 Reviews
Posted on 06 December 2023

Country: Dar es Salaam

  • Bedrooms: more than 4
  • Parking: Outside or Street Parking
  • Type of property: House
  • Available for: Sale

Description:

Kiwanja kina ukubwa wa mita za Mraba 4,000 (Elfu Nne)

Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.

______________


ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuina ni Tshs.50,000.

(Unalipa wewe Mnunuzi)


Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. 

______________TrP


Vyumba 5 (Masta 1) Pia Ina Sebule, Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia ndani. 

Panafaa kuishi na kufanya ufugaji au kujenga nyumba zaidi za kupangisha au  kutoa huduma kama Zahanati, Shule ya Watoto nk.

Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali. 


Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS180,000,000.00

NYUMBA NZURI KUBWA,VYUMBA VITANO(5) PUGU MPAKANI

0 0 Reviews
Posted on 06 December 2023
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top