Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 600
Kiwanja KIMEPIMWA.
Ipo ndani ya Fensi.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________mpg
Ujenzi wa kisasa na Imara.
Vyumba 3 (Masta 1)
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.