Hii ni nzuri kwa Biashara au matumizi ya Ofisi, Saloon, Kiwanda cha ushonaji nk.
Ukubwa ni Mita za Mraba 20.
INAANGALIA BARABARA YA LAMI
__________________
ANGALIZO:
Malioo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuina ni Tshs.20,000
(Unalipa wewe Moangaji)
____________________
Ukihitaji kuina taarifa mapema tafadhali.