Country: Dar es Salaam
Hapa ni MBEZI MSHIKAMANO,
Jirani na MAGUFULI TERMINAL.
Mita 700 kitoka Barabara ya Morogoro.
Nyumba kubwa ina vyumba 3 (Masta 1)
Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia.
Servant Ina vyumba 2 (Masta 1)
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,200.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ndani ya Fensi.
Wahi Bahati hii.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
_________________jj
Hapa ni MBEZI MSHIKAMANO, Jirani na MAGUFULI TERMINAL. Mita 700 kitoka Barabara ya Morogoro. Nyumba kubwa ina vyumba 3 (Masta 1) Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia. Servant Ina vyumba 2 (Masta 1) Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,20...
https://advertisingdar.co.tz/ad/inauza-bankvyumba-3-servants-2mbezi-mwisho/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.