Country: Dar es Salaam
Kiwanja SQM. 700.
Ni nyumba ambayo inajitegemea.
Vyumba 3( Masta 1) Pia ina Sebule, Jiko,
Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Msingi wa Ghorofa ya vyumba 4,
Nyumba ndogo ya Vyumba 2 na Fremu za Biashara 2.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
________________mpg
Kiwanja SQM. 700. Ni nyumba ambayo inajitegemea. Vyumba 3( Masta 1) Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Vilevile kuna Msingi wa Ghorofa ya vyumba 4, Nyumba ndogo ya Vyumba 2 na Fremu za Biashara 2. ________________ A...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-vyumba-3-inauza-bankpugu-kinyamwezi/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.