Loading…
Views: 3
TZS56,000,000.00

‘KIJIJI KINAUZWA NA BANK’ (NYUMBA 7 ) UKONGA

Posted 2 days ago

Country: Dar es Salaam

  • Bedrooms : more than 4
  • Bathrooms : more than 3
  • Parking : Secure Parking
  • Type of Property : House
  • Available for : Sale

Description:

Eneo ni UKONGA MOMBASA(MAZIZINI)

Njia ya kuelekea MOSHI BAR.

Mita 300 kutoka Lami hiyo.

Kiwanja SQM. 1,300

Umiliki ni LESENI YA MAKAZI. 

Jumla kuna Vyumba 23.

Kitegauchumi ndio hiki sasa.

Hivyo hivyo ilivyo unakula KODI.

Ikikupendeza utaboresha au kuongeza nyumba kadhaa nyingine sababu nafasi bado ipo.

WAHI ITAKUFAA WEWE ZAIDI.

__________________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000. 

(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

__________________mpg




Views: 3
TZS56,000,000.00

‘KIJIJI KINAUZWA NA BANK’ (NYUMBA 7 ) UKONGA

Posted 2 days ago
Always Open
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top