Loading…
Views: 11
TZS120,000,000.00

SHAMBA ‘BIKIRA’ EKARI 120, TSHS.120 MIL,MKURANGA

Posted on 02 April 2026

Country: Pwani

  • Bedrooms : 1
  • Bathrooms : 1
  • Parking : Secure Parking
  • Type of Property : Farm , Land
  • Available for : Sale

Description:

Hapa ni Kijiji cha GADAGADA-MWANZEGA.

Njia ya kuelekea KISIJU baada ya MKURANGA MJINI.

Ni wastani wa kilomita 13 kutoka Kijiji cha MBEZI na ni jirani na KIJIJI CHA WASANII.

Sehemu kubwa ya Shamba haijawahi kulimwa.

Ina Majani Mafupi hivyo,

Halihitaji nguvu kubwa kulisafisha.

Vilevile Ardhi yake ina Majimaji baadhi ya sehemu kuna Madimbwi yasiyokauka Mwaka mzima.

Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. 

TUNAHITAJI MNUNUZI WA SHAMBA LOTE.

_________________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000. 

(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. 

_________________sl









Views: 11
TZS120,000,000.00

SHAMBA ‘BIKIRA’ EKARI 120, TSHS.120 MIL,MKURANGA

Posted on 02 April 2026
Always Open
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top