Loading…
Views:
TZS52,000,000.00

NYUMBA VYUMBA VINNE (4) MOSHI-BAR, UKONGA

0 0 Reviews
Posted on 05 April 2025

Country: Dar es Salaam

  • Parking: Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of property: House
  • Available for: Sale

Description:

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 350.

Kiwanja KIMEPIMWA (Hati bado kutoka)


NI NYUMBA YA KUHAMIA.


Vyumba 4 ( Masta 1)

Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. 


Umeme, Maji, Paving Blocks na Heater.


__________


ANGALIZO:

Malioo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000. 

(Unalipa wewe MNUNUZI)


Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. 

___________Uknu


Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali. 




Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS52,000,000.00

NYUMBA VYUMBA VINNE (4) MOSHI-BAR, UKONGA

0 0 Reviews
Posted on 05 April 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top