Country: Dar es Salaam
KIMFAACHO MTU CHAKE,
NAWE CHUKUA FURSA UJIKOMBOE.
Hili ni Pagale zuri lililoishia kwenye hatua ya LINTA.
Eneo ni MATEMBELE YA PILI, BANANA/KwaSUGUYE
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hili ni PAGALE zuri ambalo limejengwa kisasa.
Vyumba 4 (Masta 1)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________UkO
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
KIMFAACHO MTU CHAKE, NAWE CHUKUA FURSA UJIKOMBOE. Hili ni Pagale zuri lililoishia kwenye hatua ya LINTA. Eneo ni MATEMBELE YA PILI, BANANA/KwaSUGUYE Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Hili ni PAGALE zuri ambalo limejen...
https://advertisingdar.co.tz/ad/inauzwa-kwa-dharula-vyumba-4ukonga-matembele/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.