Country: Dar es Salaam
Viwanja vya ukubwa huu ni nadra sanq kupatikana kwa maeneo ya Sinza A, ambayo ni jirani na MLIMANI CITY Sasa hii ni Bahati yako ya Mtende wewe unaehitaji eneo zuri na kubwa zaidi kulinganisha na Viwanja vingi vya huku. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Vyumba 3 (Masta 1) pia kuna Sebule, Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Nyumba ipo ndani ya Fensi na Parking ni kubwa. ____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____________tb Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Viwanja vya ukubwa huu ni nadra sanq kupatikana kwa maeneo ya Sinza A, ambayo ni jirani na MLIMANI CITY Sasa hii ni Bahati yako ya Mtende wewe unaehitaji eneo zuri na kubwa zaidi kulinganisha na Viwanja vingi vya huku. Umiliki ni HATI (Title Deed) y...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-yenye-hati-kiwanja-sqm-621mlimani-city/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.