Loading…
Views:
TZS160,000,000.00

NYUMBA YA KISASA YA VYUMBA VINNE (4) MINGOI

0 0 Reviews
Posted on 15 March 2025

Country: Dar es Salaam

  • Parking: Covered Parking, Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of property: House
  • Available for: Sale

Description:

Umbali wa mita 400 kutoka Barabara ya Bagamoyo. 

Ni baada ya Daraja la Bunju B,

Upande wa kulia ukielekea Bagamoyo. 

Kiwanja kina ukubwa wa SQM.800.

Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.

___________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000 

(Unalipa wewe Mnunuzi)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. 

____________jKG

Vyumba vya kulala 4 (Masta 1)

Sebule,Jiko,Dining-room,Store na 

Choo cha Familia ndani. 

Nyumba ina AC, Garden na Parking yakutosha. 

Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS160,000,000.00

NYUMBA YA KISASA YA VYUMBA VINNE (4) MINGOI

0 0 Reviews
Posted on 15 March 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top