Ni umbali wa kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Pagale limeishia iwenye hatua ya Linta.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.