Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 450.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba moja Ina vyumba 3.
Nyingine ina Vyumba 4.
Zipo ndani ya Fensi.
Wahi kablwa hujachelewa.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.