Hapa panafaa Biashara yoyote inayohitaji kuinekana kiurahisi.
Jengo ni jipta na Linangalia Barabara ya Lami.
Eneo ni Makumbusho jirani na Kituo cha Daladala.
Kodi inaahitajika ya angalau Miezi 6.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________fdhmk
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.