Hii nyumba Ina jumla ya vyumba 11.
Vyote vina Wapangaji.
Ukubwa wa Kiwanja ni SQM. 360.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni jirani na Kituo cha Daladala.
Nyumba ina Tiles na Gypsum.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.