Country: Dar es Salaam
KITUNDA MKOLEMBA/KWA MBONDE.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hii nyumba ipo jirani na Kituo cha Daladala.
Vyumba 3 vya kulala ( Masta 1) Pia kuna Sebule,
Jiko, Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile ina Fremu 2 cha Duka.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
KITUNDA MKOLEMBA/KWA MBONDE. Kiwanja kina ukubwa wa SQM.600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Hii nyumba ipo jirani na Kituo cha Daladala. Vyumba 3 vya kulala ( Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Vilevile i...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-vyumba-vitatu-3-ukonga-mkolemba/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.