Loading…
Views:
TZS230,000,000.00

NYUMBA YA VYUMBA (4) KIWANJA SQM.4,450, KIBAHA

0 0 Reviews
Posted on 07 February 2025

Country: Pwani

  • Bathrooms: more than 3
  • Parking: Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of property: House
  • Available for: Sale

Description:

Kiwanja kina ukubwa wa SQM.4,450.

Nyumba imezunguushiwa Ukuta yote,

Na ipo umbali wa kilomita 1.5 kutoka Barabara ya Morogoro. 


Vyumba 4 ( 2 vyoo ndani)

Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room, 

Store na Choo cha Familia ndani. 

Pia kuna Mabanda Matatu.

___________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000. 

(Unalipa wewe MNUNUZI)


Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. 

___________mpg


Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali. 


Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS230,000,000.00

NYUMBA YA VYUMBA (4) KIWANJA SQM.4,450, KIBAHA

0 0 Reviews
Posted on 07 February 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top