Hapa jumla kuna vyumba vya kulala 8.
Ni umbali wa Mita 400 tu kutoka Barabara ya Lami.
Ya kwanza ina vyumba vya kulala 3(Masta 1)
5 kila moja ina Chumba 1 cha kulala (Masta) na
Sebule
Kila Apartment inajitegemea kwa huduma za
Umeme na Maji.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.